Kuazisha na kuendeleza shughuli mbali mbali za kimaendeleo kwa manufaa ya jamii na wana jumuiya.
kuendeleza ujenzi wa miundo mbinu ya shehia.
Kuendeleza na kuboresha huduma za Afya,maabara,maji safi na salama.
Kukuza viwago vya Elimu kwa kuendeleza shughuli za ujenzi wa madarasa,vikalio na shughuli nyengine za kimaendeleo.
Kutoa elimu zikiwemo za kuhifadhi Mazingira,HIV/AIDs na n.k.
Kuendeleza na kuazisha shughuli za kiuchumi na kuhakikisha... | (Bila tafsiri) | Hariri |