Kusaidia jamii za Pemba kupitia kamati za uhifadhi na maendeleo za shehia, kusimamia kikamilifu mbinu za uhifadhi wa maliasili na mazingira yao. – Kusaidia jamii za Pemba kupitia Kamati za uhifadhi na maendeleo za Shehia kujikita katika mbinu mbadala za kuongeza kipato na kuboresha hali za maisha. – Kusaidia jamii kutumia vyema mapato yanayotokana na faida za uhifadhi wa rasilimali zinazowazunguka katika kuanzisha na kuendesha miradi ya maendeleo inayotokana na... | Pemba Supporting communities through conservation and development committee of shehia, actively managing the natural resource conservation techniques and their environment. – Pemba Supporting communities through conservation and development committee of Shehia focus on alternative methods of raising incomes and improving standards of living. – Helping communities to better revenues and profits generated from conservation of resources around them in establishing... | Edit |