Envaya

/mbaroukmussa/home: Kiswahili: WI0008DD08B6903000001746:content

Asili ((unknown language)) Kiswahili
 Kusaidia jamii za Pemba kupitia kamati za uhifadhi na maendeleo za shehia, kusimamia kikamilifu mbinu za uhifadhi wa maliasili na mazingira yao.

 Kusaidia jamii za Pemba kupitia Kamati za uhifadhi na maendeleo za Shehia kujikita katika mbinu mbadala za kuongeza kipato na kuboresha hali za maisha.

 Kusaidia jamii kutumia vyema mapato yanayotokana na faida za uhifadhi wa rasilimali zinazowazunguka katika kuanzisha na kuendesha miradi ya maendeleo inayotokana na mipango yao ya shehia.

 Kushirikiana na taasisi nyengine katika kuleta maendeleo endelevu na usimamizi mzuri wa maliasili za Pemba.

 Kushirikiana na wadau wengine ndani na nje wanaojishughulisha katika mambo ya uhifadhi na maliasili na maendeleo.
(Bila tafsiri)

Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe