Asili (Kiswahili) | Kiswahili |
---|---|
Mchango wangu ni huu:baada ya uchunguzi usio rasmi nimegundua kuwa vijana wengi hukata taama kwa mambo yakiwemo haya; Kutothaminiwa juhudi zao za kujitolea. 2.kuona scout ni kazi bure isiyo na faida yoyote wala haioneshi maslahi kwao USHAURI:Serikali iweke kiwango japo kidogo cha kuwatia hamasa wanachama wa scout ili ujione kuwa wanajaliwa.hata kama ni kazi ya kujitolea tu. |
(Bila tafsiri) |
Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe