Kuhusu
Peleleza
Tafuta
Jitolee
Mabadiliko
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Fungua
/ASGOHES/projects
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
MIRADI ILIYOTEKELEZWA NA ASGOHES – 1. Mradi wa kuibua changamoto zinazowakabili wazee katika wilaya ya Muheza(Sensitization creation) 2006-2008. – Mradi huu ulitekelezwa katika wilaya ya Muheza ukizijumlisha kata za Mbaramo, Magila na Masuguru, ambapo katika vijiji vya Majembe, Mafleta,Mbaramo na Estate; jamii ilipewa elimu kupitia sanaa; mikutano na makongamano ambapo katika makongamano vijana na wazee walipata fursa ya kujadili changamoto...
(Bila tafsiri)
Hariri