Log in

/AUG/post/103320: English

BaseEnglish
Pamoja na mikutano na wanakijiji wa Singino kule Kilwa lakini tulipata bahati ya kutembelea wajasiriamali ambao wanapata kipato chao kwa njia ya uvuvi wa Maliasili za bahari.Wako duni sana hawana vifaa vya kuvulia na ili kuwatoa huko ni kwa kuwafundisha njia hii ya ufugaji wa samaki wa maji chumvi kwa njia ya kitaalamu zaidi ndio maana tumechukua eneo kwa kushirikiana nao basi tuache mazalia ya bahari yasiharibiwe ovyo kwa vifaa duni na badala yake tutumia njia mbadala ya kufuga kwa maji...Despite meetings with the village of Singino in Kilwa but we got lucky enough to visit entrepreneurs who earn their income through fishing of Natural Resources bahari.Wako inferior to no equipment fishing and so forth there is to teach this method of fish farming water salt in a professional manner over the area which is why we have taken with them then we should stop breeding sea yasiharibiwe disposal facilities for low and instead sent us an alternative way of raising the salt water but...Edit
(image) (image) Asasi yetu ina mambo mengi inayofanya kuona kuwa wale ambao wapo katika asasi hii wanapata shughuli mbalimbali za kufanya.Kama ambavyo tulishaeleza kuwa tuna projects mbalimbali tunazoendesha na nyingi ya projects hizo ni pamoja na Training na mafunzo kivitendo.Tuliamua kutafuta eneo kule Matipwili kwa ajili ya ufugaji wa samaki wa maji baridi kwa kutumia mto Wami lakini pia tuna eneo la ufugaji wa samaki wa Bahari.Huko Kilwa na hapa ni...(image) (image) Our organization has a lot a pressure to see that those who are in this organization have various activities that we shaeleza kufanya.Kama that we have different projects we zoendesha and many of these projects include the Training and training in Matipwili kivitendo.Tuliamua search area for livestock freshwater fish using the river Wami but we also have an area of ​​the aquaculture of Bahari.Huko Kilwa and here are some pictures that...Edit
Ni vipi watu kama sisi ambao tunataka kupata elimu kuhusu ufugaji wa samaki 2tajuaje wakati nyie mmefundishwa 2naona picha pia mmefundishwa na bwana kissai kwani hamuwezi kuandika hicho – mlichojifunza na mimi nijifunze(Not translated)Edit
kwa jina naitwa Steven S. yohana,ni Afisa uvuvi kilwa kivinje,nimefulahi sana kuona kwamba mnaendelea kutoa elimu inayohusu ufugaji wa samaki. Ni kweli kwamba samaki wamekua wakitegemewa na jamii nyingi Duniani kwa ajili ya chakula na kipato.Kutokana na kuongezeka kwa mahitaji ya samaki pamoja na mazao yake na kukua kwa teknolojia ya uvuvi.shughuli za uvuvi katika maji ya asili zimeongezeka kwa kiwango kikubwa ,hali hii imesababisha kupungua kwa kiwango kikubwa cha rasilimali za uvuvi...(Not translated)Edit
Vijana wa Africa Upendo Group wamekuwa wakikutana mara kwa mara kujadiliana maswala mbalimbali yanayohusu vijana. – kutokana na wimbi la vijana wengi ambao wanamaliza vyuo vikuu lakini kutokana na mashirika na serikali kung'ang'ania kuwa vijana hawa wawe na uzoefu katika kazi na kwa kuzingatia kuwa vijana hawa ndio kwanza wanatoka kwenye vyuo wamekuwa katika kuhangaika sana. – Katika asasi yetu ya Africa Upendo Group tumekuwa na kitengo maalum cha kuwasaidia vijana...Love Africa Youth Group have been meeting regularly to discuss various issues pertaining to youth. – due to a wave of young people who graduated from universities but from government organizations to hold that the young people have experience in working with young people to consider that these are the first members from the colleges have been in a very distressed. – In our organization of African Love Group we have a Special Unit to help young people like these by...Edit