Kuhusu
Peleleza
Tafuta
Jitolee
Mabadiliko
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Fungua
/BUSATAGROUP/history
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
Busata Group ni shirika la kijamii ambalo makao ya makuu ya jijini Mwanza, limeanzishwa tarehe 27/7/2009, likiwa na watu kumi na tatu, wanaume saba na wanawake sita, shirika linajishughulisha na kuwasaidia watoto yatima,waishio katika mazingira hatarishi,walemavu wa ngozi na pia kutunza mazingira, office zetu zipo maeneo ya Igogo nyuma ya HOspital ya bugando. – Shughuli – Shirika letu...
(Bila tafsiri)
Hariri