Base (Swahili) | English |
---|---|
Busata Group ni shirika la kijamii ambalo makao ya makuu ya jijini Mwanza, limeanzishwa tarehe 27/7/2009, likiwa na watu kumi na tatu, wanaume saba na wanawake sita, shirika linajishughulisha na kuwasaidia watoto yatima,waishio katika mazingira hatarishi,walemavu wa ngozi na pia kutunza mazingira, office zetu zipo maeneo ya Igogo nyuma ya HOspital ya bugando. Shughuli Shirika letu linajishughulisha na kuyasaidia makundi yote yaliotajwa hapo juu kwa kuwaunganisha na mashirika mbalimbali yanayo shughulika na watoto kulingana na mahitaji la watoto husika |
Busata Group is a social organization which is the capital of Mwanza city, established on 27/7/2009, consisting of thirteen persons, seven men and six women, an linajishughulisha to help orphans, living in vulnerable, disabled skin and also to protect the environment, our office there are areas Igogo behind the Bugando Hospital. Activities Linajishughulisha our organization and to help all categories mentioned above to connect to various agencies which deals with children according to the needs of the children concerned |
Translation History
|