Log in

/CHACODE/history: English: WI000CE514FCE33000025570:content

« Previous   ·   Next »
Base (Swahili) English

Asasi ya CHACODE ni imeanzishwa na watanzania,wazalendo kwa lengo la kuunganisha nguvu kwa pamoja katika kuhakikisha ya kuwa jamii ya watanzania wanapata maendeleo.Asasi hii imeanza mchakato wake wa kimuundo mwaka 2007 baada ya wabaini changamoto za kimaendeleo zinazoikabili jamii hususan vijana kukosa ajira,wazee,wajane,watoto yatima na tatizo la ugonjwa wa UKIMWI.

Makao makuu ya asasi yapo Chalinze Mkoa wa Pwani,lakini pia asasi ina ofisi ndogo katika Mkoa wa Morogoro.Imepata usajili wake mwaka 2008 baada ya kukamilisha zoezi la usajili serikali kama shirika lisilo na faida na lisilofungamana na siasa,dini au ukabila.

Imesajili katika ngazi ya taifa kwa namba oongo/00002400.

Malengo makuu ya asasi ni kuisaidia jamii kufikia malengo yao ya kuwa na maisha bora.

Kutoa elimu na ushauri kwa makundi lengwa namna ya kuanzisha ujasiliamali na kujiongezea kipato.

kusaidia jamii hususan wanawake wanaje,watoto wanaoishi katika mazingira hatarishi,kuwasaidia wazee na watu wasio jiweza namna ya kutumia raslimali ndogo zilizopo ili kuhabiliana na umasikini na makali ya maisha.

kuwaelimisha jamii sera na miongozo mbalimbali inayotolewa na serikali katika kujenga uelewa na taarifa sahihi zinazotolewa na serikali na kuhakikisha fursa zinazotolewa na serikali zinawanufaisha wananchi wote.

Mawasiliano ni nguzo muhimu ya upatikanaji wa maendeleo hivyo,asasi ina idara ya upashanaji wa habari(media department)ambayo jukumu lake ni kuhakikisha ya kuwa wananchi wanapata taarifa sahihi za ndani na nje ya nchi kwa masilahi yao na taifa kwa ujumla.

Asasi imeweza kufanikiwa kutatua migogoro ya ardhi bonde la Mikongoro katika kijiji cha Kihangaiko, Kata ya Msata Wilayani Bagamoyo.

Kauli Mbiu ya asasi :Tuliona,Tukajifunza sasa tunatekeleza!


Organization CHACODE is established by Tanzanians, patriots in order to join forces together to ensure that the community of Tanzanians have access maendeleo.Asasi this has begun its process of structural in 2007 after identifying the challenges of development facing the community, particularly youth unemployment, the elderly, widows, orphans and the AIDS problem.

The headquarters of the organization are Chalinze Coast Province, but also the organization has a small office in the Province of Morogoro.Imepata its registration in 2008 after completing the registration process of the government as a non-profit organization and lisilofungamana politics, religion or ethnicity.

Has registered at the national level oongo/00002400 numbers.

The main objectives of the organization is helping communities achieve their goals of a better life.

Providing education and advice to targeted groups how to introduce Entrepreneurship and increase their income.

community support wanaje especially women, children living in risky environments, helping elderly and disabled people who do not like to use the resources available to small kuhabiliana poverty and the edge of life.

educate communities and policy guidelines issued by various governments in creating awareness and information provided by the government to ensure the opportunity provided by the government zinawanufaisha all citizens.

Communication is a key pillar of the availability of this development, the organization has a department of social communication of information (media department) that its role is to ensure that citizens receive accurate information within and outside the country for their welfare and the nation at large.

The organization has managed to successfully resolving the land of bull valley in the village of terror, County SATA Bagamoyo District.

The motto of the organization: We, we are now implementing Tukajifunza!



In order to edit translations, you need to log in. Log in · Register

Translation History

Google Translate
June 29, 2011
Organization CHACODE is established by Tanzanians, patriots in order to join forces together to ensure that the community of Tanzanians have access maendeleo.Asasi this has begun its process of structural in 2007 after identifying the challenges of development facing the community, particularly youth unemployment, the elderly, widows, orphans and the AIDS problem. – The headquarters of the organization are Chalinze Coast Province, but also the organization has a small office...