Asasi ya CHACODE ni imeanzishwa na watanzania,wazalendo kwa lengo la kuunganisha nguvu kwa pamoja katika kuhakikisha ya kuwa jamii ya watanzania wanapata maendeleo.Asasi hii imeanza mchakato wake wa kimuundo mwaka 2007 baada ya wabaini changamoto za kimaendeleo zinazoikabili jamii hususan vijana kukosa ajira,wazee,wajane,watoto yatima na tatizo la ugonjwa wa UKIMWI. – Makao makuu ya asasi yapo Chalinze Mkoa wa Pwani,lakini pia asasi ina ofisi ndogo katika Mkoa wa Morogoro.Imepata... | (Bila tafsiri) | Hariri |