About
Explore
Search
Volunteer
Updates
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Log in
/CHACODE/history
: English
Base
English
Asasi ya CHACODE ni imeanzishwa na watanzania,wazalendo kwa lengo la kuunganisha nguvu kwa pamoja katika kuhakikisha ya kuwa jamii ya watanzania wanapata maendeleo.Asasi hii imeanza mchakato wake wa kimuundo mwaka 2007 baada ya wabaini changamoto za kimaendeleo zinazoikabili jamii hususan vijana kukosa ajira,wazee,wajane,watoto yatima na tatizo la ugonjwa wa UKIMWI. – Makao makuu ya asasi yapo Chalinze Mkoa wa Pwani,lakini pia asasi ina ofisi ndogo katika Mkoa wa Morogoro.Imepata...
Organization CHACODE is established by Tanzanians, patriots in order to join forces together to ensure that the community of Tanzanians have access maendeleo.Asasi this has begun its process of structural in 2007 after identifying the challenges of development facing the community, particularly youth unemployment, the elderly, widows, orphans and the AIDS problem. – The headquarters of the organization are Chalinze Coast Province, but also the organization has a small office...
Edit