Mwezi wa 12 chuyodo iliweza kupata mashelfu na mafunzo ya siku mbili kutoka kwa Book Aid International kupitia mradi uliobwa na mjukiza ,hata hivyo tumeweza kusambaza barua za wito kwa masheha ,wabunge na wawakilshi wa shehia ya chumbuni – kutokana pia na kujishuhulisha na maktaba tumeweza kupokea vitabu vya fani mbalimbali kutoka maktaba kuu ya zanzibar ambavyo vinasaidia kwa kiasi kikubwa katika maktaba yetu. – pia tumeweza kuandika barua ya... | (Not translated) | Edit |