Kutoa elimu kuhusu umuhimu wa chumvi yenye maadini joto. – Kuondoa matatizo ya maradhi ya Goiter/tenzi ambayo mara nyingi hushambulia watoto wadogo. – Tunahamashisha hususan mama waja wazito kutumia chumvi yenye maadini joto kwa sababu mara nyingi hupelekea kuzaa watoto wafu,viziwi, bubu n.k. | (Not translated) | Hindura |