Base ((unknown language)) | English |
---|---|
Kutoa elimu kuhusu umuhimu wa chumvi yenye maadini joto. Kuondoa matatizo ya maradhi ya Goiter/tenzi ambayo mara nyingi hushambulia watoto wadogo. Tunahamashisha hususan mama waja wazito kutumia chumvi yenye maadini joto kwa sababu mara nyingi hupelekea kuzaa watoto wafu,viziwi, bubu n.k. |
Providing education about the importance of salt with warm Adin. Eradication of the disease problems of goiter / hymns that often attack small children. Tunahamashisha especially pregnant mothers to use warm salt with religion because it often leads to bear children, dead, deaf, mute, etc. |
Translation History
|