Kuhusu
Peleleza
Tafuta
Jitolee
Mabadiliko
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Fungua
/CEDO/topic/27473/add_message
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
Uwazi ni njia mojawapo inayoleta mafanikio mema katika shughuli za kimaendeleo. Lakini baadhi ya Halmashari haziko wazi kutoa taarifa mabalimbali za kimaendeleo kwa raia wake. hilli inachelewesha maendeleo katika jamii. raia wengi hawajui mapato na matumizi ya fedha za umma. Tufanyeje ili kupata taarifa za shughuli za kimaendeleo ikiwa ni pamaoja na kushirikishwa katika utengenezaji wa bajeti?
(Bila tafsiri)
Hariri
Napenda kukushukuru kwa mada yako nzuri mr Jophet A Kalegeya – kutokana na mada yako nzuri ambayo mimi inanihusu moja kwa moja kutokana shughuri zangu ninazofanya – MAJUKUMU YA SERIKALI ZA MITAA. – Halmashauri za Manispaa zimeanzishwa chini ya sheria za Mamlaka za Miji (Local Government Urban Authorities Act. 1982)....
(Bila tafsiri)
Hariri
@FIKIRI MVUGARO(MWELA THEATRE GROUP) (MTONI MTONGANI TEMEKE DSM): – Asante Sana Mr.Fikiri Mvungaro kwa mchango wako nzuri wa kutuelimisha kuu ya majukumu ya Halmashauri na uanzishwaji wake.
(Bila tafsiri)
Hariri
UWAZI NA UWAJIBIKAJI
(Bila tafsiri)
Hariri