Kuhusu
Peleleza
Tafuta
Jitolee
Mabadiliko
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Fungua
/AFSC/post/5
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
Madawa ya asili ni mengi ila bado hajafanyiwa utafiti wa kutosha kuhusu aina ya wadudu na magonjwa ninayotibu, jinsi ya kutumia na kiasi cha kutumia. Baadhi ya mimiea inayotoa madawa ya asili ni mbegu na majani ya muarobaini, tumbaku, pilipili kali, pareto, kitunguu swaumu, manung'anung'a, n.k. Muarobaini ni miongoni mwa mimea michahce ambayo mpaka sasa imefanyiwa utafiti wa kiina. Mfano, kuchanganya nusu kilo ya mbegu za muarobaini zilizotwangwa katika lita ishirini za maji husaidia...
(Bila tafsiri)
Hariri
Ukitaka kumsaidia mtu mboga mpe ndoano sio samaki, Tutoeni elimu ni ndoano na samaki ni fedha, au chakula. karibuni sana.
(Bila tafsiri)
Hariri
Tunaweza kubadili mwanga wa jua moja kwa moja kuwa umeme kwa kutumia seli ya jua. – Mwanga wa jua unapopiga Paneli za Jua kwa chembe za miali yake zinazojulikana kama fotoni (Kwa kiingereza photons),panaeli za jua hubadili fotoni hizo kuwa electroni zinazofanya mkondo mnyoofu wa umeme-aina hii ya umeme inaitwa Umeme Jua. – Electroni hizi hutoka katika paneli na kuingia katika kifaa kiitwacho Inveta ambacho huubadili kuwa mkondo geu wa umeme. – Huu ni umeme...
(Bila tafsiri)
Hariri
Kule dodoma hasa vijijini wanahitaji msaada twendeni tukatoe elimu kumbuka elimu ni mtaji mkubwa kuliko mabilioni ya fedha karibuni wadau wa maendeleo na wakeleketwa wa maendeleo.
(Bila tafsiri)
Hariri