MALENGO YA JUMLA YA ASASI NA KAZI ZAKE;- – Kutoa huduma za afya kwa jamii hususan vijijini.
Maeneo yasiyo na shule tutapeleka huduma hiyo, sh/msingi, sekondari na sh/ za ufundi.
Utoaji wa elimu ya hifadhi ya mazingira.
Utunzaji wa misitu ya asili & vyanzo vya maji milimani.
Upandaji miti na kuzuia uchomaji moto misitu.
Kutoa elimu ya... | (Not translated) | Edit |