Ndugu “MKUVI” Ni kifupi cha maneno haya;- >>Mbinu mpya ya Kupambana na Umasikini Vijijini<< MKUVI itakufanya uwe na upeo mpana katika shughuli zako za maendeleo, binafsi na Taifa kwa ujumla. Usichelewe kuvutana na mtu au watu njoo jifunze kutoka hapo ulipo nanyi wengine jifunzeni kusonga mbele zaidi hakuna atakae kuja kukununulia mahitaji au kukutunzia familia usidanganywe jifunze mbinu ya kutoka karibuni sana, “ MKUVI” jifunze na A.F.S.C. huduma zetu soma mwongozo hapo chini;-
Mradi huu nikwa wilaya Tano; 1.KILINDI. 2. MPWAPWA. 3. KONGWA. 4. KITETO. 5. KILOSA.
|
MKUVI PROJECT lazima kieleweke. Umasikini na ujinga ni giza nene linalo ificha jamii ya kitanzania kuonekana kama haipo hata kama ina mawazo chanya ya kujikomboa katika hali duni iliyopo, lakini ujinga na umasikini ni kikwazo cha kusonga mbele.Tukishikamana majibu yanapatikana si kwa maneno tu bali kwa vitendo .”welcome Tz country of milk and honey”.
|
AFSC. Inakuletea mradi wa mafunzo kwa njia ya Mtandao, Mradi uitwao MKUVI.
Mafunzo yanayotolewa ni:- A. Ufugaji wa kuku kibiashara. B. Kufungua biashara kwa mtaji mdogo. C. Mafunzo ya ufundi. D. Kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi. E. Kukabiliana na umasikini. F. Njia za kujikimu kimaisha. G. Matumizi ya nishati ya umeme jua.
Tunatoa kozi hizo kwa vikundi vya watu wasiopungua 7 na wasiozidi 15.Na kila kikundi kitakachojiandisha kitatambuliwa na Shirika ili kupata vitabu na documents kwa mafunzo, tutafuatilia mafunzo kikamilifu na kila wakati watakutanishwa pamoja na mwalimu watakao kuwa na bidii, watapewa kipaumbele, mradi huu niwa miaka miwili changamkia fulsa, watakao kuwa na nafasi nzuri kimasomo tutawaunganisha na wadau wakubwa wa maendeleo, tayari kwa kuwezeshwa zaidi;-
Wasiliana na Mkurugenzi wa elimu hiyo atakusaidia ;-
Kwa namba hizi ;- +255 782 627 388. +255 626 758 257.
EMAIL;- afscorganization@gmail.com.
WEBSITE;- https://envaya.org/AFSC
Face book home page;- DPSC
|