Fungua

/DAKEDEO/post/69354: Kiswahili: WIbBdHL4NH3n7JP2SnpmMwhI:content

« Iliyotangulia   ·   Ifuatayo »
Asili ((unknown language)) Kiswahili

KUANZA KWA MAFUNZO. AWALI YA KIDATO CHA KWANZA NA KOMPYUTA.

DAKAWA CENTRE FOR SELF RELIANCE AND SKILLS  DEVELOPMENT IMEFUNGUA MAFUNZO YA AWALI KWA WANAFUNZI WANAOTARAJIA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2014 KATIKA SHULE MBALIMBALI ZA SEKONDARI NCHINI TANZANIA.

MAFUNZO HAYO YATAKAYOCHUKUA MUDA WA MIEZI MITATU YALIANZA RASMI 22-SEPTEMBA 2013 KATIKA KITUO KILICHOPO WAMI DAKAWA MAKAO MAKUU YA  ASASI YA DAKAWA ECONOMIC DEVELOPMENT ORGANIZATION (DAKEDEO) AMBAYO NDIYO INAYOMILIKI NA KUSIMAMIA KITUO HICHO.

PAMOJA NA MAFUNZO HAYO YA AWALI KWA KIDATO CHA KWANZA KITUO PIA KIMEANZISHA MAFUNZO YA AWALI YA MUDA MFUPI YA KOMPYUTA KWA WADAU AMBAO WANAHITAJI UFAHAMU NA MATUMIZI YA KMPYUTA KWA AJILI YA SHUGHULI ZA KIMAENDELEO KWA JAMII.

KATIKA UHAKIKISHA KUWA WANAFUNZI WANAOJIUNGA NA MAFUNZO YA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2014 WANAKUWA NA UFAHAMU WA ELIMU TEHEMA  KITUO KINATOA MAFUNZO PIA KWA ELIMU YA MATUMIZI YA KOMPYUTA KWA WANAFUNZI HAO WANAOENDELEA NA MAFUNZO YA KUJIANDAA NA KIDATO CHA KWANZA.

 

 

 

 

 

 

 

 

(Bila tafsiri)

Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe