KUANZA KWA MAFUNZO. AWALI YA KIDATO CHA KWANZA NA KOMPYUTA. – DAKAWA CENTRE FOR SELF RELIANCE AND SKILLS DEVELOPMENT IMEFUNGUA MAFUNZO YA AWALI KWA WANAFUNZI WANAOTARAJIA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2014 KATIKA SHULE MBALIMBALI ZA SEKONDARI NCHINI TANZANIA. – MAFUNZO HAYO YATAKAYOCHUKUA MUDA WA MIEZI MITATU YALIANZA RASMI 22-SEPTEMBA 2013 KATIKA KITUO KILICHOPO WAMI DAKAWA MAKAO MAKUU YA ASASI YA DAKAWA ECONOMIC DEVELOPMENT ORGANIZATION (DAKEDEO) AMBAYO... | (Bila tafsiri) | Hariri |