Injira

/auvitatz/post/7: Kinyarwanda

BaseKinyarwanda
Makara iyo apo juu.imebeba ujumbe mzito sana kwa anae ona na kufahamu maana asa ya UZALENDO.kiukweli katika jamii yetu uzalendo haupo kwa vijana wa Tanzania kwa kizazi iki cha sasa,na hii utokana na vijana wenyewe kutojua uzalendo ninini??ninauwakika na ninacho kisema asilimia miya moja vijana wengi wa Tanzania atujui uzalendo ninini.maana anayefahamu maana ya uzalendo,anamipaka ndani yake atajua uzalendo nkwajili ya nchi tu na siyo na vilivyomo .kwaiyo kazi ya kwanza ya kufanya nikuamasisha...(Not translated)Hindura
Ni kweli wana asasi ya Ukomboz wa Vijana, hata sisi vijana wa taasisi ya Maisha Pa1 tunaungana nanyi, uzalendo haupo kabisa katika nchi yetu kwa sasa, hakuna shughuli za kijamii zilizowashirikisha wazee wetu wa miaka ya nyuma kama kujadilia maendeleo ya kijiji kwa kukaa chini ya mti, kutengeneza barabara, kuchimba visima, kujenga shule N.k(Not translated)Hindura
TANZANIA NA UZALENDO WETU TUMEKOSEA WAPI? – Uzalendo ni kitendo cha mtu kuipenda nchi yake, rasilimali zilizomo na watu wake kwa moyo wa dhati kwa kuilinda, kuithamini wakati wote na mahali popote. – Uzalendo katika nchi ndio chanzo cha maendeleo na usawa kwa watu wote nchini. Uzalendo unaleta haki, uzalendo unajenga misingi ya kujaliana, uzalendo ndio chachu ya matumizi ya rasilimali za nchi kwa usawa,...(Not translated)Hindura