Base (Icyongereza) | Kinyarwanda |
---|---|
Ni kweli wana asasi ya Ukomboz wa Vijana, hata sisi vijana wa taasisi ya Maisha Pa1 tunaungana nanyi, uzalendo haupo kabisa katika nchi yetu kwa sasa, hakuna shughuli za kijamii zilizowashirikisha wazee wetu wa miaka ya nyuma kama kujadilia maendeleo ya kijiji kwa kukaa chini ya mti, kutengeneza barabara, kuchimba visima, kujenga shule N.k |
(Not translated) |
Kugirango ugire icyo uhindura kubyo wasemuye, ugomba kwinjira mu rubuga Injira · Iyandikishe