Fungua

/dtg/history: Kiswahili

AsiliKiswahili
DIRA THEATRE GROUP (DTG) ni asasi ya kiraia ambayo ilianzishwa mwaka 2005 na kusajiliwa mwaka 2006 kwa No.BST/2560 chini ya sheria No. 23 ya mwaka 1984. Kutokana na aina hii ya usajili Dira imeruhusiwa kufanya kazi zake mahali popote ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pamoja na kushiriki katika mialiko mbalimbali ya nje ya nchi. ...(Bila tafsiri)Hariri