Asili ((unknown language)) | Kiswahili |
---|---|
Kuwa mfano katika sekta ya kutoa mafunzo kwa jamii kwa kutumia nyenzo zinazowazunguka kuwaondolea umaskini. Kujenga uwezo na uwazi katika kuinua uchumi katika makundi yaliyopo ndani na pembezoni mwa jamii ambayo itakuwa nyenzo ya Utawala Bora na kupunguza umaskini. |
(Bila tafsiri) |
Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe