USULI
– Chama cha Viziwi Tanzania (CHAVITA) ni chama kilichoanzishwa na Viziwi wenyewe mwaka 1983 na kusajiliwa rasmi na Wizara ya Mambo ya Ndani tarehe 04/09/1984 na kupewa no so. 6466 na baaada ya kupitishwa kwa sheria ya Uanzishwaji wa vyama vya kiraia ya mwaka 2002, CHAVITA ilipata hati namba NGO 1878 tarehe 21/04/2006. – Kwa sasa CHAVITA ina Matawi 17 kwenye Mikoa 17... | (Not translated) | Hindura |