Ibitwerekeyeho
Ikarita
Shakisha
Korera ubushake
Inkuru
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Injira
/esupat/post/93156
: Kinyarwanda
Base
Kinyarwanda
JUKWAA LA WAPAMBANAJI VVU/UKIMWI KATIKA MANISPAA YA ARUSHA: Jukwaa ni nini? ni mkusanyiko wa naharakati kutoka eneo moja wenye lengo linalofanana na kusudio moja kufuatilia matokeo yaliyokubaliwa kwa pamoja hivyo;jukwaa hili ni chanzo cha kuandaa mikakati ya kufikisha malengo ya kikundi. MAANA YA WAPAMBANAJI: Ni wanaharakati ambao wanahitaji kukabiliana na vikwazo mbalimbali ili kufikia hatua au mipango waliojipangia. vikwazo hivyo vyaweza kuwa unyanyapaa,mila na desturi...
(Not translated)
Hindura