Fungua
ARV Esupat Group

ARV Esupat Group

Unga Limitedi, Arusha, Tanzania

  • JUKWAA LA WAPAMBANAJI VVU/UKIMWI KATIKA MANISPAA YA ARUSHA: Jukwaa ni nini? ni mkusanyiko wa naharakati kutoka eneo moja wenye lengo linalofanana na kusudio moja kufuatilia matokeo yaliyokubaliwa kwa pamoja hivyo;jukwaa hili ni chanzo cha kuandaa mikakati ya kufikisha malengo ya kikundi.    MAANA YA WAPAMBANAJI: Ni wanaharakati ambao wanahitaji kukabiliana na vikwazo mbalimbali ili kufikia hatua au mipango waliojipangia. vikwazo hivyo vyaweza kuwa unyanyapaa,mila na desturi zinazochangia maambukizi ya VVU/UKIMWI mfano ukeketaji,ndoa za utotoni, ngono zembe n.k ukosefu wa elimu inayohusiana na masuala ya VVU/UKIMWI.kwa maana nyingine jukwaa ni chombo kinachoundwa na watu dhamira  moja, na lengo moja katika kukabiliana kukomesha hali ya maambukizi mapya ya VVU/UKIMWI katika jamii husika.  

 

4 Mei, 2012
« Iliyotangulia

Ongeza maoni

Jina lako:
Mahali ulipo:
Email yako:
(sio lazima)
Anwani yako ya email haitachapishwa.