Base (Swahili) |
English |
- JUKWAA LA WAPAMBANAJI VVU/UKIMWI KATIKA MANISPAA YA ARUSHA: Jukwaa ni nini? ni mkusanyiko wa naharakati kutoka eneo moja wenye lengo linalofanana na kusudio moja kufuatilia matokeo yaliyokubaliwa kwa pamoja hivyo;jukwaa hili ni chanzo cha kuandaa mikakati ya kufikisha malengo ya kikundi. MAANA YA WAPAMBANAJI: Ni wanaharakati ambao wanahitaji kukabiliana na vikwazo mbalimbali ili kufikia hatua au mipango waliojipangia. vikwazo hivyo vyaweza kuwa unyanyapaa,mila na desturi zinazochangia maambukizi ya VVU/UKIMWI mfano ukeketaji,ndoa za utotoni, ngono zembe n.k ukosefu wa elimu inayohusiana na masuala ya VVU/UKIMWI.kwa maana nyingine jukwaa ni chombo kinachoundwa na watu dhamira moja, na lengo moja katika kukabiliana kukomesha hali ya maambukizi mapya ya VVU/UKIMWI katika jamii husika.
|
- Militant FORUM HIV / AIDS IN THE MUNICIPALITIES OF ARUSHA: The forum is? is a collection of activism from the same area with similar purpose and one purpose to monitor the results agreed with it, this forum is a source of developing strategies to convey the goals of the group. MEANING OF militant: It is the activists who need to deal with various obstacles to reach the planning stage or make. sanctions may be stigma, traditions and customs that contribute to the spread of HIV / AIDS like FGM, early marriage, unprotected sex etc. The lack of knowledge relating to issues of HIV / UKIMWI.kwa platform is a tool for other people made up of one mission, and goal one in response to stop new infections of HIV / AIDS in their communities.
|