Base (Swahili) | English |
---|---|
Watoto wanaoishi na virusi vya ukimwi wanaosoma katika shule ya msingi kagera (W)Ukerewe wakiwa wanasubiri kupewa msaada wa unga wa rishe na mfafakazi wa shirika la Mzeituni Foundation kupitia mradi uofadhiriwa na Halmashauri ya wilaya ya Ukerewe ambao ulifafika mwezi wa jan- Feb 2011 Watu wenye mapenzi mema na watoto hawa wanakaribishwa kuwasaidi zaidi maama wanaishi na bibi zao wasio kuwa na uwezo wa kuwahudumia kielimu,kimaisha . |
Children living with HIV who are studying in primary school Kagera (W) Ukerewe while awaiting assistance of flour inhabit and mfafakazi the organization of Olives Foundation through the project uofadhiriwa and District Council Ukerewe which fafika month of jan-February 2011 People of good will and children are welcome kuwasaidi more mothers are living with their grandmother who was capable of serving the academic, life. |
Translation History
|