Kuhusu
Peleleza
Tafuta
Jitolee
Mabadiliko
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Fungua
/chipscf/post/720
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
Moja ya changamoto kubwa tuliyokutana nayo ni ya bibi huyu ambaye anawalea hawa wajukuu zake wakati yeye mwenyewe ni mlemavu wa macho. – tunauhitaji wa kusaidia japo alituomba lakini hatuna fedha – yeyote mwenye kuguswa na hili na kama una chochote tunaomba umsaidie.
(Bila tafsiri)
Hariri