Envaya
Moja ya changamoto kubwa tuliyokutana nayo ni ya bibi huyu ambaye anawalea hawa wajukuu zake wakati yeye mwenyewe ni mlemavu wa macho.
tunauhitaji wa kusaidia japo alituomba lakini hatuna fedha
yeyote mwenye kuguswa na hili na kama una chochote tunaomba umsaidie.
29 Mei, 2010
« Iliyotangulia Ifuatayo »

Ongeza maoni

Jina lako:
Mahali ulipo:
Email yako:
(sio lazima)
Anwani yako ya email haitachapishwa.