About
Explore
Search
Volunteer
Updates
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Log in
/chacode/news
: English
Base
English
Habari; – Baadhi ya wananchi katika kata zilizopo katika wilaya ya Bagamoyo bado wanakabiliwa na changamoto ya kuwapeleka watoto wao shule kutokana na ukosefu wa rasilimali fedha,jambo hilo kwa upande wa asasi ya CHACODE ni changamoto kubwa ya kuhakikisha ya kuwa wananchi wanajengewa uwezo wa kutumia rasilimali ndogo walizonazo kujiwekea akiba ili wawapeke watoto shule,ambapo programu hiyo CHACODE imepewa kauli mbiu Pwani Elimu Kwanza.
News; – Some people in the county existing in the district of Bagamoyo is still faced with the challenge of taking their children to school due to lack of financial resources, the matter to the organization CHACODE is a major challenge to ensure that citizens' capacity building to use the limited resources they have set wawapeke savings to school children, where the program has been given the motto CHACODE Education First Coast.
Edit
Asasi ya CHACODE katika mwaka mpya wa 2012 imeweka mpango mkakati wa kuhakikisha ya kuwa inaendesha sensa ya wazee na watoto wanaoishi katika mazingira magumu na hatarishi ikiwa ni moja ya hatua ya kupata taarifa sahihi ili kuangalia ukubwa wa matatizo yako.pia kwa upande wa wazee ili kujua idadi ya wazee ambao wanapaswa kupata huduma za kijamii bila ya kubaguliwa.
Organization CHACODE in the new year of 2012 has set a strategic plan to ensure that conducts a census of the elderly and children living in difficult and risky as one of the steps to get the correct information in order to check the size of problems yako.pia to the elderly in order to determine number of elderly women who should get social services without discrimination.
Edit
(image)
(Not translated)
Edit