Base (Swahili) | English |
---|---|
Habari; Baadhi ya wananchi katika kata zilizopo katika wilaya ya Bagamoyo bado wanakabiliwa na changamoto ya kuwapeleka watoto wao shule kutokana na ukosefu wa rasilimali fedha,jambo hilo kwa upande wa asasi ya CHACODE ni changamoto kubwa ya kuhakikisha ya kuwa wananchi wanajengewa uwezo wa kutumia rasilimali ndogo walizonazo kujiwekea akiba ili wawapeke watoto shule,ambapo programu hiyo CHACODE imepewa kauli mbiu Pwani Elimu Kwanza. |
News; Some people in the county existing in the district of Bagamoyo is still faced with the challenge of taking their children to school due to lack of financial resources, the matter to the organization CHACODE is a major challenge to ensure that citizens' capacity building to use the limited resources they have set wawapeke savings to school children, where the program has been given the motto CHACODE Education First Coast. |
Translation History
|