Kuhusu
Peleleza
Tafuta
Jitolee
Mabadiliko
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Fungua
/chacode/projects
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
Kwa sasa Asasi inashughulika na utafiti wa wanafunzi wa Kike ambao wameacha shule kutoka na kukosekana kwa ada na wazazi wao kutokuwa na uwezo wa kuwasomesha. katika Wilaya.utafiti huo utafanyika katika Wilaya ya Bagamoyo kama eneo la utafiti wa majaribio. – kazi hiyo kwa sasa inafanywa kwa kujitolea bado haijapatikana ufadhili au muhisani wa kufadhili shughuli hiyo.Utafiti huo unatokana na kuwepo kwa idadi kubwa ya wasichana ambao walifaulu kujiunga na sekondari lakini...
(Bila tafsiri)
Hariri