Kuwezesha wazee kupata haki zao za msingi katika kupata matibabu bure; kuwawezesha kupata lishe bora, kuwawezesha kupata malazi yaliyo bora na vile vile kupata pensheni kwa wazee wote. | Enabling the elderly to get their basic rights in a free treatment, to enable to get adequate nutrition to enable them to get better accommodation as well as get a pension for all elderly. | Edit |