Fungua

/chawaumavita: Kiswahili: WIQXSR6NwelU2YAtCfdfyLRT:content

« Iliyotangulia   ·   Ifuatayo »
Asili (Kiswahili) Kiswahili

kuwaleta pamoja watu/familia zinazolea  watoto wenye ulemavu wa Mtindio wa Ubongo na viungo ili kubadilishana uzoefu, kupata elimu ya namna ya kuwatunza watoto wenye ulemavu wa Mtindio wa Ubongo akili na viungo

Kutoa elimu ya ulemavu wa Mtindio wa Ubongo na Viungo ili Kupunguza athari na maumivu yatokanayo na Mtindio wa Ubongo na viungo.

 Kukusanya, kuchapisha na kusambaza taarifa zinazohusu matatizo yatokanayo na ulemavu wa Mtindio wa Ubongo na viungo.

 Kuwasaidia wanachama  kutetea na kupata haki zao kwa mujibu wa sheria.

(Bila tafsiri)

Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe