mkutano mkuu chawaumavita umeamua kwa kauli moja kuanza mchakato wa uzinduzi rasmi wa chama na mpango mkakati-stategic plan-ya miaka mitano ijayo,wajumbe wameazimia uzinduzi huo ufanyike ndani ya miezi miwili ijayo,pale pale kiwanja cha nyumbani ccbrt msasani,hivyo basi ili kutekelea maazimio ya chama-mkutano mkuu- kamati tendaji imepanga kukutana j4 wiki ijayo ili kuanza maandalizi ya uzinduzi huo, – GENERAL MEETTING,of 18th may 2013,passed some resolutions,where by excutive... | (Not translated) | Hindura |