Injira

/chawaumavita/projects: Kinyarwanda: WIZmE7JShvWHAglmU396jye3:content

« Inyuma   ·   Ahakurikira »
Base ((ururimi rutazwi)) Kinyarwanda

mkutano mkuu chawaumavita umeamua kwa kauli moja kuanza mchakato wa uzinduzi rasmi wa chama na mpango mkakati-stategic plan-ya miaka mitano ijayo,wajumbe wameazimia uzinduzi huo ufanyike ndani ya miezi miwili ijayo,pale pale kiwanja cha nyumbani ccbrt msasani,hivyo basi ili kutekelea maazimio ya chama-mkutano mkuu- kamati tendaji imepanga kukutana j4 wiki ijayo ili kuanza maandalizi ya uzinduzi huo,

GENERAL MEETTING,of 18th may 2013,passed some resolutions,where by excutive committee will process a strategic plan of 5yrs and in parallel with public launching of party to stakeholders and govt at large.this will be done within 60 days after general meeting.

: INTRODUCTION

 

As per heading above.

Chama cha Wazazi wa Watoto wenye Ulemavu wa Mtindio wa Ubongo, Akili na Viungo Tanzania (CHAWAUMAVITA),in ENGLISH Tanzania Parents Association of children with celebral palsy was established Aprili 2012,granted full registration on april 2013 ,ref number S.A 18732. under the registral of civil society home affair ministry

We believes-“united only a solution to challenges”

Our vision is to be an altenative association for finding bettlement and progressive healthy equipmen tand service for celebral palsy children

Mission ya CHAWAUMAVITA ni

  • Bring together those peoples/families with ,working or service provider of these celebral palsy children.in order to exchange views, ideas,challenges,educations,
  • Provide information and education on how to eradicate traditional beliefs concerning celebral palsy..
  • Assistance in legal affair and their right to members.

Thank in advance, with our motto

united we survive”

 

(Not translated)

Kugirango ugire icyo uhindura kubyo wasemuye, ugomba kwinjira mu rubuga Injira · Iyandikishe