About
Explore
Search
Volunteer
Updates
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Log in
/chawata/post/63303
: English
Base
English
habari za majukumu!jamani naombeni msaada wenu ndugu zangu,mimi nina ndugu yangu ni mlemavu na anapenda kujiendeleza ili aweze kutimiza ndoto zake na kuweza kupambana na maisha.ila ugumu anaopata ni kupata chuo aweze kujiendeleza na anapenda angepata course za secretary.shida sina ufahau na vyuo vya watu walemavu kwasababu naamini vina mazingira ambayo hayatampa shida ndugu yangu akiwa peke yake na pia chuo kiwe bweni.naomba msaada wenu niweze kumsaidia ndugu yangu apate elimu.kwa mawasiliano...
(Not translated)
Edit
len tuna semina
(Not translated)
Edit