habari za majukumu!jamani naombeni msaada wenu ndugu zangu,mimi nina ndugu yangu ni mlemavu na anapenda kujiendeleza ili aweze kutimiza ndoto zake na kuweza kupambana na maisha.ila ugumu anaopata ni kupata chuo aweze kujiendeleza na anapenda angepata course za secretary.shida sina ufahau na vyuo vya watu walemavu kwasababu naamini vina mazingira ambayo hayatampa shida ndugu yangu akiwa peke yake na pia chuo kiwe bweni.naomba msaada wenu niweze kumsaidia ndugu yangu apate elimu.kwa mawasiliano namba yangu ni 0717597200 au 0754037283.jina langu hamisi nuru.
Ibitekerezo (1)