WANAFUNZI WAFURAHIA AFRICAN HERITAGE – Wanafunzi wafurahia na kuridhishwa na huduma ya elimu inaytolewa na shirika hilo.Wakiongea kwa nyakati tofauti wanafunzi wameelezea kuridhishwa na mazingira maridhiwa ya kituo cha elimu cha shirika hilo yenye mvuto kielimu,huku wengine wakionyesha hisia zao kwa waalimu wazuri,makini na wenye msimamo thabiti katika elimu na maisha kwa ujumla.Pichani ni wanafunzi wakiwa katika... | (Bila tafsiri) | Hariri |