Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Igiswayire. Edit translations
WANAFUNZI WAFURAHIA AFRICAN HERITAGE
Wanafunzi wafurahia na kuridhishwa na huduma ya elimu inaytolewa na shirika hilo.Wakiongea kwa nyakati tofauti wanafunzi wameelezea kuridhishwa na mazingira maridhiwa ya kituo cha elimu cha shirika hilo yenye mvuto kielimu,huku wengine wakionyesha hisia zao kwa waalimu wazuri,makini na wenye msimamo thabiti katika elimu na maisha kwa ujumla.Pichani ni wanafunzi wakiwa katika makundi mbalimbali wakijadili masomo katika maeneo ya kituo hicho.
kushoto wanafunzi wa kidato cha nne wakijadili na mwalimu wao somo la Uraia.
Kulia wanafunzi wa kidato cha sita wakijadili somo la Biolojia
15 Ukuboza, 2010