BAKWATA WILAYA YA GAIRO ilianzishwa mara baada ya Gairo kutangazwa rasmi kuwa wilaya mpya mwaka 2011, ndipo uchaguzi wake ukafanyika 29/09/2013. Sheikh wa kwanza aliyeweka rekodi ya kuwa Sheikh wa wilaya ni Sheikh Twaha Swalehe Kilango. aliyeweka historia ya kuwa Mwenyekiti wa kwanza wa halmashali ni Shehe Makame Athumanina Katibu wa wilaya ni Sadi Miraji Msita. taasisi yetu bado changa kwasasa isipoku... | (Not translated) | Hindura |