Envaya

/bakwatagr/history: Kinyarwanda: WI0Tog8fungcjOW3MEaMEToe:content

Base ((ururimi rutazwi)) Kinyarwanda

BAKWATA WILAYA YA GAIRO ilianzishwa mara baada ya Gairo kutangazwa rasmi kuwa wilaya mpya mwaka 2011, ndipo uchaguzi wake ukafanyika 29/09/2013. Sheikh wa kwanza aliyeweka rekodi ya kuwa Sheikh wa wilaya ni Sheikh Twaha Swalehe Kilango. aliyeweka historia ya kuwa Mwenyekiti wa kwanza wa halmashali ni Shehe Makame Athumanina Katibu wa wilaya ni Sadi Miraji Msita. taasisi yetu bado changa kwasasa isipoku kuwa imeweka mikakati yake katika kuisaidia jamii juu masswala mazima ya kumcha Mungu na kuisadia katika nyanja mbalimbali hususani katika sekta za elimu,afya,ukuimwi,kilimo na kushughulikia swalazima la wasio jiweza kama wajane masikini na mayatima. Hata hivyo taasisi hii ipo chini ya BARAZA KUU LA WAISLAM TANZANIA (BAKWATA) ambayoyo makao yake makuu yapo Dar es salaam Tanzania

(Not translated)

Kugirango ugire icyo uhindura kubyo wasemuye, ugomba kwinjira mu rubuga Injira · Iyandikishe