About
Explore
Search
Volunteer
Updates
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Log in
/bakwatagr/post/4
: English
Base
English
Baraza Kuu la Waislam Tanzania (BAKWATA) Mkoa wa Morogoro,limekamilisha zoezi la kuunda uongozi wa Wilaya katika Wilaya mpya ya Gairo. Zoezi hilo likisimamiwa na viongozi wa Mkoa akiwemo Kaimu Sheikh wa mkoa Morogoro ambae pia ni Sheikh wa mkoa wa Dodoma Ulamaa Sheikh Mustafa Shaabani, lilisimamiwa kwa mujibu kanuni za uchaguzi zilizoainishwa katika katiba ya (BAKWATA). Mara baada ya kukamilika kwa zoezi la uchaguzi Katibu wa mkoa Bw.Zubeir Hamisi Majaliwa aliwataja washindi katika uchaguzi huo...
(Not translated)
Edit