Kuhusu
Peleleza
Tafuta
Jitolee
Mabadiliko
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Fungua
/dewiwoco/projects
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
1 kuwaunganisha wanawake wajane waweze kuunda vikundi vya pamoja ili waweze kubuni miradi itakayo wasaidia kuinua kipato chao. – 2 kuwaelimisha wanawake waendane na mabadiliko ya tabia ya nchiili wasiweze kuathiriwa na mabadiliko hayo mf.ukame. – 3 kutoa elimu ya jinsia na mazingira(gender and deveropment) pamoja na jinsia na maendeleo – 4 kutoa elimu juu ya haki za binadamu na haki za wanawake – 5 kutoa elimu juu ya...
(Bila tafsiri)
Hariri