Base (Igiswayire) | Kinyarwanda |
---|---|
1 kuwaunganisha wanawake wajane waweze kuunda vikundi vya pamoja ili waweze kubuni miradiĀ itakayo wasaidia kuinua kipato chao. 2 kuwaelimisha wanawake waendane na mabadiliko ya tabia ya nchiili wasiweze kuathiriwa na mabadiliko hayo mf.ukame. 3 kutoa elimu ya jinsia na mazingira(gender and deveropment) pamoja na jinsia na maendeleo 4 kutoa elimu juu ya haki za binadamu na haki za wanawake 5 kutoa elimu juu ya ukatiri wa kijinsia |
(Not translated) |
Kugirango ugire icyo uhindura kubyo wasemuye, ugomba kwinjira mu rubuga Injira · Iyandikishe