Kuhusu
Peleleza
Tafuta
Jitolee
Mabadiliko
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Fungua
/ebenezer-vision
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
-Kuhamasisha maendeleo ya vijana na wananchi juu ya mabadiliko ya kitabia-katika Elimu rika – -Kuhamasisha jamii kupambana na magonjwa ya kuambukizwa na kushauri jamii kisaikolojia(moral counselling). – -Kuhimiza elimu ya ujasiliamali kwa vijana pamoja na wanawake. – -Kuhimiza miradi ya kuanzisha kipato – -Kuhimiza maswala ya kiroho katika jamii – -Kuanzisha vituo vya watoto wadogo -nursery na awali....
(Bila tafsiri)
Hariri