Ibitwerekeyeho
Ikarita
Shakisha
Korera ubushake
Inkuru
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Injira
/tumaini_mwanza/projects
: Kinyarwanda
Base
Kinyarwanda
Tumaini tunatoa misaada ya elimu kwa watoto yatima na walio katika mazingira magumu zaidi.walengwa wakiwa ;Primary na Secondary. – Tumaini tuna fundisha stadi za kazi;Ushonaji,Ufumaji,Ushonaji sweta kwa vijana walioshindwa kuendelea na elimu ya Secondary kwa matatizo mbalimbali yakiwemo ya kijamii na kiuchumi. – Kutetea yatima na wajane kupata haki zao. – Kutoa elimu ya; ujasilia mali,kujikinga na maambukizi na ukimwi.
(Not translated)
Hindura