Envaya
/tuwodea/post/118387
: English
Base
English
Tuwodea inatoa wito kwa wanawake wote Tanzania nzima, kushiriki kikamilifu katika kutoa maoni kuhusu mabadiriko ya katiba. Ili sheria zinazo wakandamiza wanawake na watoto zipate kurekebishwa
(Not translated)
Edit
Shime wana harakati, tuelimishe jamii. Jamii yetu ya kitanzania bado inahitaji kuelimishwa hasa katika maeneo ya usawa wa jinsia katika elimu, afya uongozi na umiliki wa rasilimali ili tuweze kutimiza dhana ya ukombozi wa wanawake kimapinduzi.
Children participate movement, tuelimishe community. Our Tanzanian society still needs to be educated especially in the areas of gender equality in education, health, governance and ownership of resources so that we can fulfill the concept of women's liberation revolutionary.
Edit